Kwa ripoti ya shirika la habari la Abna ikinukuliwa Al-Masira ndege za kivita za Saudi kwa mashambulio mawili ya anga zililenga kitivo cha tiba cha chuo kikuu cha Hodeidah magharibi mwa Yemen
Vyanzo vya Yemeni bado havijataja uharibifu wa maisha na mali wa shambulio hili
Shambulio hili limefanyika wakati vyombo vya habari vya Kiarabu bila kutaja maelezo zaidi viliripoti kusikika kwa sauti za milipuko katika mji wa Aden kama makao makuu ya wapiganaji wa Saudi kusini mwa Yemen
Asubuhi ya leo pia katika mashambulio mawili ya anga ya muungano wa Saudi dhidi ya vituo vya kampuni ya mafuta katika eneo la Bajil katika mkoa wa Hodeidah nchini Yemen raia watatu walijeruhiwa
Maoni yako